Uongozi wa shule ya awali na msingi Samali pre Primary School. Unawatangaziannafasi za masomo Kwa shule ya awali na Wanapenda kuhamia Kwa darasa la kwanza mpaka darasa la sita Kwa mwaka wa masomo 2025.
Shule Iko Moshi kata ya Kahe. Ina mazingira tulivu na salama Kwa wanafunzi wote wa kutwa na bweni.
Fomu za kujiunga na shule zinapatikana shuleni au kwenye website ya shule
Kwa mawasiliano zaidi tupigie Kwa namba 0718507834
https://samaliprimary.abcwebsoft.com/
Karibuni wote Kwa huduma Bora za elimu